ADVERTISE WITH US HERE FOR YOUR OWN EXPANSION AND PROSPERITY

.
.

President of Tanzania hon Jakaya Kikwete

President was greeting the official during the 47th commemorations of the United republic of Tanzania that was held in Tanzania Islands of Zanzibar .Picture by rahma Hashim-Mgonjahmedias.

Tuesday, August 9, 2011

TANZANIA YAELEKEA KUSIKO SHWARI

Wa Tanzania wanaoishi USA waandaa maandamano kumpinga “Baba Ridhiwani”, Hii ni sehemu ya maandalizi hayo kama yalivyoandikwa na ELIAKIM MALLYA.  Kutokana na kuchoka na hali ngumu inayoendelea hapa Tanzania, ndugu zatu wanaoishi USA wameandaa maandamano ambayo yatakuwa ya amani kupinga utawala mbovu wa “Baba Ridhiwani” hasa baada ya kushindwa kuwachukulia hatua masfidi hapa nchi. Tunaandaa maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete...

Page 1 of 8123Next

Subscribe